skip to Main Content

Ubunifu Unaowiana

Mfumo huu unaweza kufikiwa kwa kutumia vifaa vyote. Kompyuta, Kompyuta Kibao, na simu za mkononi.

Orodhesha mteja Mmoja Mmoja au kwa Mkupuo

Orodhesha wateja mmoja mmoja au kwa mkupuo kwa sekunde chache, kutumia muundo wa faili za XLS na CSV za Excel.

Dashibodi za Utendaji

Ripoti za Dashibodi Zinazoweza Kubadilishwa. Fuatilia utendaji wa njia mbali mbali za makusanyo kwa wakati halisi.

Suluhisho za Malipo

Integreza akaunti yako ya e-Wallet, kadi za Debit na Krediti. Fanya malipo unapohitaji. Au tumia suluhisho zetu za malipo na fuatilia malipo yako mara moja kupitia taarifa za shughuli za akaunti yako ya Kollekta.

Watumiaji Wasiokuwa na Kikomo

Unda watumiaji wengi kadri unavyohitaji kutekeleza majukumu yako.

Weka Malengo

Weka malengo kwa timu yako ili kupata matokeo bora.

Utengenezaji wa hati (Kielektroniki)

Tengeneza moja kwa moja taarifa za madai, mikataba ya marejesho ya deni, Makadirio na zaidi.

Tayari kwa Mashirika

Vipengele vinavyoweza kubadilishwa ili kukidhi mahitaji yako. Chukua udhibiti wa programu, ihifadhi kwenye kikoa chako mwenyewe.

Njia Mbali Mbali za Kukusanya

Unda njia mbalimbali za ukusanyaji madeni. Mawakala, Idara, Kampuni za Sheria, Wakusanyaji wa Madeni wa Nje na zaidi.

Taarifa Mara Moja

Pata taarifa mara moja kwa vitendo vinavyohitaji idhini, toa au ondoa ruhusa ya kupata, kuona, au kuhariri taarifa kwa timu yako.

Ripoti za Jiogeotagi

Jiogeotagi shughuli za timu yako. Fuatilia mahali ambapo wakala alimpata mteja kwa ufuatiliaji wa baadaye, kwenye tukio la wakala kuondoka katika biashara yako.

Rejista ya Shughuli

Angalia shughuli zote za timu yako kupitia ripoti ya rejista ya shughuli. Muda wa tukio, na hatua zilizochukuliwa kwa kila kazi.

Matokeo ya Ukusanyaji

Fuatilia matokeo ya ukusanyaji dhidi ya akaunti za ahadi ya kulipa, kwenye dashibodi ya utendaji.

Yenye Kubadilika Kirahisi

Kollekta ni Mfumo wa Ufuatiliaji wa Malipo na Madeni wenye uwezo wa kubadilika kirahisi na bei rahisi, inayolenga kwa watu binafsi wenye mteja moja hadi kampuni zenye njia nyingi za ukusanyaji wa deni.

Mnada Mtandaoni

Tumia jukwaa letu lenye nguvu na lenye vipengele kamili vya Minada Mtandaoni, ambalo linakuruhusu kuunda na kusimamia minada mtandaoni kutoka mahali popote ulipo. Jukwa linakuruhusu kuunda mnada mpya ndani ya sekunde, kufuatilia mnada wa wanachama na kutumia zana za mipangilio ya ugani wa mnada.​

Back To Top