skip to Main Content

Kuhusu sisi

Kollekta ni kampuni inayotengeneza programu za kompyuta na ilianzishwa kwa madhumuni ya kutengeneza masuluhisho mahususi za kibiashara yanayoendeshwa kiteknolojia na bidhaa za watumiaji kwa ajili ya soko la Afrika.

Teknolojia ina chukua nafasi muhimu katika uundaji wetu wa suluhu zinazofaa za biashara na bidhaa za watumiaji barani Afrika. Ushirikiano wetu na wataalamu wa Undaji wa bidhaa za kiteknolojia ndani na nje ya nchi huhakikisha kuwa suluhu zinazoundwa zinatolewa kwa njia ifaayo.

Waanzilishi wa Kollekta wana uzoefu katika kuanzisha biashara, maendeleo ya biashara, usimamizi wa miradi, na biashara za rejareja, baada ya kufanya kazi na mashirika ya kimataifa katika sekta ya Mawasiliano, Mali Zisizohamishika, Taasisi za Kifedha, Teknolojia na Benki katika nchi mbalimbali barani Afrika kwa zaidi ya miaka 23.

Dhamira Yetu

Kuendelea kuunda suluhu zenye ushindani za kibiashara na bidhaa za watumiaji zinazoendeshwa na teknolojia katika soko la Afrika.

Sekta Tunazo Hudumia

Mawasiliano

Fedha

Reja Reja

Sheria

Bima

Huduma za Biashara

Upo tayari kushirikiana nasi?

Back To Top