Ufadhili wa Ankara
Pata Ufadhili wa Ankara yako papo hapo kupitia mifumo yetu ya Kollekta.
CashFlow nzuri ni muhimu kwa ukuaji wa biashara yako, na suluhisho letu la Ufadhili wa Ankara linatambua hilo.
Wavuti ya Ankara
Suluhisho bora kwa changamoto ya CashFlow ya biashara yako. Suluhu la Ufadhili wa Ankara la Kollekta linafadhiliwa na wadau katika sekta ya fedha na watu binafsi ambao wako tayari kukutangulizia malipo chini ya thamani ya ankara yako na kukutoza ada.
Huduma hii hukuwezesha kudhibiti CashFlow yako kwa ufanisi na kuwezesha biashara yako kukua bila kuwa na wasiwasi juu ya CashFlow yako.
Jinsi ya kuanza
Ni rahisi kama ABC. Fuata hatua zilizo hapa chini
Hatua ya 1
Pakua App ya Kollekta kwenye simu yako au ingia kupitia Wavuti
Hatua ya 2
Nenda kwenye kichupo cha Ufadhili wa Ankara
Hatua ya 3
Chini ya kichupo cha Kampuni Yangu
Hatua ya 4
Ingiza Biashara yako (Kampuni).
Hatua ya 5
Ingiza Wateja wako (Kampuni).
Hatua ya 6
Ingiza Akaunti yako ya Biashara au fungua akaunti mpya
Hatua ya 7
Ingiza Ankara yako kwa ajili ya Ufadhili
Tafadhali tambua kwamba usajili wako lazima upitie hatua za uthibitishaji wa makampuni yote na uidhinishaji kabla ya kuanza kuwasilisha ankara kwa ajili ya ufadhili.