Biashara Mtandaoni
Ankara
Bora wa Ukusanyaji Madeni
Biashara
Kollekta Africa
Tunatengeneza suluhu madhubuti za biashara na bidhaa za wateja kupitia teknolojia kwa kushirikiana na washirika wanao ongoza katika sekta ya Mawasiliano, Fedha, Rejareja na sekta nyinginezo zinazoendeshwa na teknolojia barani Afrika.
Mbinu yetu ya kutoa matokeo yenye marejesho madhubuti na kusaidia kwenye ukuzaji wa mapato kwa wadau wetu, inahusisha kutengeneza suluhu za njia za kidijitali zinazowezesha uwasilishaji wa bidhaa kwa urahisi kwa watumiaji.
Kollekta App, majukwaa ya wavuti, na huduma za USSD zinafanya iwe rahisi kwa biashara kutoa huduma na bidhaa za kipekee kwa watumiaji. Hii inawezeshwa kwa malipo ya pesa taslimu au kwa njia ya malipo kidogo kidogo kupitia mikopo. Watumiaji wanaweza kufurahia ununuzi wao kwenye Jukwaa Moja la Mauzo bila wasiwasi, huku wakichagua kati ya Kununua Sasa au Kulipa Baadaye mahali popote na wakati wowote kulingana na mahitaji yao ya kila siku.
Sekta Tunazo Hudumia
Mawasiliano
Fedha
Reja Reja
Sheria
Bima
Hudumaza Biashara
Suluhu Zetu
Kuwezesha Biashara Kukua kwa Kutumia Suluhu za Kiteknolojia
Biashara Mtandaoni
Mifumo yetu ya Biashara Mtandaoni huwezesha wateja kununua bidhaa mbali mbali mahali popote wakati wowote, kupitia miamala ya mtandaoni bila shida
Ufadhili wa Ankara
Pata Ufadhili wa Ankara yako papo hapo kupitia mifumo yetu ya Kollekta. CashFlow nzuri ni muhimu kwa ukuaji wa biashara yako
Ukusanyaji wa Madeni
Programu ya Ukusanyaji wa Madeni ya Kollekta imeundwa kwa ajili ya Watu Binafsi na Makampuni katika sekta ya Fedha, Mawasiliano, Sheria na Mali isiyohamishika
Huduma za Biashara
Timu yetu ya wataalamu wenye uzoefu imezindua miradi mashuhuri katika tasnia ya Mawasiliano, Fedha na Teknolojia